RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI IFTARI NA VIONGOZI WA DINI NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na  makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.














Post a Comment

0 Comments