Na mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amepokelewa katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Kasangezi, Kasulu Mkoani Kigoma leo Jumapili 22 Juni, 2025.
Mwenyekiti Kawaida amewasili Kigoma kwa ajili ya kufunga Semina ya Mafunzo kwa Vijana wa CCM katika Mkoa huo.
Vijana Tunasema
OKTOBA TUNATIKI ✅✅✅
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#OktobaTunatiki✅✅✅
0 Comments