Mwendesha mada Kutoka UNDP Sam komba akitoa elimu kwa Waandishi wa Habari juu ya sheria ya jinsia na haki za binadamu Kwa kundi kubwa liliokuwa kweny hatari ya maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.
Wizara ya afya,maendeleo ya jamii,jinsia,watoto na wazee kwa kushirikiana na taasisi na mashiriki ya kimataifa na kitaifa iko mikakati ya kuilinda jamii kwa kuelemisha vijana juu ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa ukimwi.
0 Comments