Mratibu na meneja wa mpango wa taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee (NTDCP) Dr.Upendo Mwingira amewapa rai wakati akiongea na wandishi wa habari ofisi za mpango huo kuwa wanaume wengi wanaziacha ndoa zao pindi wanawake hao wanapougua ugonjwa wa matende na ngiri maji kupitia mpango huo umepanga kugawa dawa za kinga tiba kila mwaka bure ili kufikia malengo ya dunia kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee na umma.......akiwa anaongea kwa masikitikito makubwa kutokana na hali hiyo ya wanaume kutokea katika jamii kwani magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele(matende,ngirimaji,usubi,trakoma na ukoma)yanatibika na itakiwi kumtenga mgonjwa.
wanawake hawa ni moja ya waathirika wa ugonjwa wa matende.
0 Comments