Heart marathon imewavutia wakazi wa Dar................

Kaimu mkurugenzi wa maendeleo ya michezo kutoka wizara ya habari,utamaduni,sanaa na michezo Alex Nkenyenge akikabidhi tuzo kwa mdhamini mkuu wa mbio za heart marathoni Tindwa medical and health services wakati wa ufunguaji wa mbio hizo jana jijin Dar es salaam viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam.Picha ya chini watoto wakishiriki katika mbio umali wa mita 700 hizo zilizokuwa na kauli mbiu "kuwa huru katika magonjwa yasiyo ya kuambukiza"
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya heart Marathon Dr. Chakao Khalafani akiongea na waandishi wa habari mara baada kumalizika kwa mbio hizo,
 Washirikiwa mbio Heart marathon kwa wandesha Baiskeli wakiwa katika mashindano  ya umbali wa 5km jijini Dar
 Mgeni rasmi akiwakabidhi zawadi washindi wa Heart Marathon.....Marathoni hizi zilikuwa umbali wa  20km,21km, na 5km.
 Washiriki wakiwa wameanza kukimbia katika mashindano yaliyofanyika viwanja vya michezo vya chou kikuu cha Dar es salaam Mlimani Jijini Dar.
 washiriki wa marathon wakiwa wanajiandaa kuanza mbio katika mashindano ya umbali wa 21km.
Mgeni Rasmi  Kaimu mkurugenzi wa maendeleo ya michezo kutoka wizara ya habari,utamaduni,sanaa na michezo Alex Nkenyenge akiongea na washiriki,wageni,waandishi na wahudhuriaji katika  Heart marathoni iliyonyika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es salaam jijini Dar.

Post a Comment

0 Comments