Leo Mkutano wa wabunge Wote Kuhusu uwasilishaji wa Mapendekezo ya mpango wa kiwango cha ukomo wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2016/17

 Kikao hiki kiliwasilisha na kamati ya kudumu ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
Mkutano uliwasilisha mikakati ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa mwaka 2016/17
 Mkutano huu ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere international Convention center jijini Dar es salaam

Post a Comment

0 Comments