Mkutano Huu Maelezo ya utangulizi yalitolelewa na Mheshimiwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Job Ndugai

 Mheshimiwa aliwasilisha maelezo ya utangulizi katika mkutano huu.
 Mwenyekiti wa mkutano alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa Kasimu
Uwasilishaji wa mapendekezo ya serikali ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka wa Fedha 2016/17 iliwasilishwa waziri wa fedha Mh, Philipo Mpango

Post a Comment

0 Comments