Rest in peace The legend Papa Wemba.......

 Habari zilizotufikia hivi punde kuwa gwiji wa muziki afrika aliyezaliwa DR Congo kinshansa amefariki kwa kudondoka ghafla kwenye halfa aliyekuwepo akiwa ni mgeni mwalika .....kifo chake hajulikani mpaka sasa hivi ni tatizo gani la afya lilokuwa lina msibu hadi kupelekea kumfika mauti.
Gwiji la muziki papa wemba akiwa katika moja ya majukumu yake na mwenye afya njema.Picha chini inamuonesha jinsi alivyodondoka hadi kufika mauti.Mungu amrehemu na kupokea gwiji wetu wa muziki afrika

Post a Comment

0 Comments