mastaa wa bongo wa muziki na mpira wa miguu hawashiriki kikamilifu katika kuisaidia jamii kiafya na kimazingira bila ya malipo

 Mchezaji wa  timu ya ureno na real madrid akiwa na watoto wahanga wa njaa alipotembelea kutoa msaada.
 Msanii wa diamond ni msanii anayeingiza pesa nyingi kwa sasa tanzania wakiwa mashabiki wake wanaishi katika mazingira ya hatari inaabidi hawasaidie kwa msaada wa kiafya na kimazingira wanayoishi.
 Mkurugenzi mtendaji wa media ya mmbuclub akiwa anatafakari kitu na kutoa maoni ya wasanii na wanamichezo wa mpira wa miguu kujitokeza kuisaidia jamii yaani cooparate social responsibility(CSR)
Mbwana sammata  ni kati ya wachezaji wa kulipwa nje nchi anayechezea klab ya Geink ya ubeligiji naye ni mmoja anayetakiwa kuisadia jamii yake kwa nyanja ya afya na mazingira,

Post a Comment

0 Comments