Mkuu wa mkoa dar Mh. Paul Makonda Azindua kambi ya matibabu ya mgongo wazi na vichwa vikubwa kwa watoto kitengo cha Moi

 Mkuu Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akikata Utepe mwekundu Kusashiria uzindunzi wa kambi ya mitababu wa ugonjwa wa kichwa kikubwa na mgongo wazi katika hospitali ya muhimbili kitengo cha Moi...Mradi huo umefadhiliwa na kampuni ya GSM kwa ushirikiano wa kitengo cha moi.
 Mheshimiwa akiongea na wandishi habari na wageni waliofika katika uzinduzi  wa kambi hiyo........Kushoto ni Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka Taasisi ya tiba na upasuaji ya Mhimbili, Othman Kiloloma na Mkurugenzi wa tiba MOI katika Hospitali ya Taifa ya ...

Post a Comment

0 Comments