![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhyFHF49deiv2xkKBWXhIhoJw1n1MGQbitIaXILlLiMGkdR-49-4Xvst0MQeYxK3I5QYPuKP_NeL19dvgayJpUHNoTOVjoXUxJbdawjwNZdCr9bn4WDGQDlC0f71uZdg-c6x-q4XqIXvFI/s1600/DSCF4679.jpg)
Wengine pichani ni kutoka kulia ni Mraribu Idadi ya Watu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Makyao,Meneja Msaidizi wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP),Dkt. Robert Josiah,Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Fatma Mrisho pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa PSI-Tanzania,Romanus
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsnzMbdUxfKdzcbUxvJZJmEKFG1pFymuRnrQvMtF22tOSQLEsjLSyXTsntQHbXNFee-wiRqCuFpEPDWnam90iYY5KNoUQ0ujfEVa-gRxYmP-w4RHV5W0ZeACIjhJI4YrGahyphenhyphenWuZU7gYMs/s1600/DSCF4690.jpg)
akimkabidhi Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Fatma Mrisho Ripoti ya tafiti ya hali ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa Watu wa makundi maalum mara baada ya kuzinduliwa rasmi leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea Courtyard,jijini Dar es salaam.Kulia ni Meneja Msaidizi wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP),Dkt. Robert Josiah.
Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali,Dkt. Mohamed Ally Mohamed (katikati) akimkabidhi Meneja Msaidizi wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP),Dkt. Robert Josiah Ripoti ya tafiti ya hali ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa Watu wa makundi maalum mara baada ya kuzinduliwa rasmi leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea Courtyard,jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Fatma Mrisho .
Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali,Dkt. Mohamed Ally Mohamed (katikati) akiwa pamoja viongozi wa taasisi mbali mbali za kupambala na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) mara baada ya uzinduzi rasmi wa Ripoti ya tafiti ya hali ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa Watu wa makundi maalum (walizozishika mikononi) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kuitambulisha Ripoti hiyo,uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea Courtyard,jijini Dar es salaam.viongozi hao ni pamoja na (kutoka kulia kwenda kushoto) Muwakilishi wa Sauti ya Watanzania,Hally Mahley, Mraribu Idadi ya Watu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Makyao,Meneja Msaidizi wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP),Dkt. Robert Josiah,Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Fatma Mrisho pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa PSI-Tanzania,Romanus Mtung'e.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6wZDEKVBatuqRWFRwf7FE52mYy98zhZG7DVYGNRHQfkPB33TmgTqzUwQ2n8hDIrM2tRFk1FU3frbo-qBcB8yZDppDnnRofMFa3qSWCOdobIBiyMnzTTPYQNKjf9NolAU_RoYnmnjIr1E/s1600/DSCF4692.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6iyUoPrXVNXsi9qOHUCcPpm6cGsdFolOfkL53l1Z6VpbaBO0jI4d1qxo3vH8zWH5E_WZ13or-twxeXANlzjAXjkIVExepgZ0PrDedBmmHzw8vicCq6qCb3vETlSfMypXEq91rzIyIyU4/s1600/DSCF4716.jpg)
0 Comments