JUMUIYA YA WÀZAZI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA KWA CCM



 


*IMEPANGA KUFANYA KONGAMANO NA MDAHALO MKUBWA WA KIHISTORIA*


*UMOJA* wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama cha Mapinduzi *(CCM)* chini ya Mweyekiti Ŵake *Ndg. Fadhili Rajabu Maganya* wanakuletea Kongamano na Mdahalo Mkubwa wa Ķihistoria Litakalojadili Mchango wa *Chama Cha Mapinduzi* katika Kujenga Uzalendo Maadili na Maendeleo ya Taifa Letu linalotarajiwa kufanyika katika *Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Mkoani Dodoma Tarehè *02/02/2025*.


Mada zitakazojadiliwa katika kongamano hilo ni kama zifuatazo:-


1. Mchango wa CCM katika maendelèo ya taifa letu.


2. Mchango wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuijenga CCM.


3. Mchango wa Vijana na Elimu katika kujenga maendeleo ya taifa letu.


4. Mchango wa CCM kujenga Umoja, Mshikamano, Uzalendo na Maendeleo ya Watu pamoja na Demokrasia nchini.


5. pamoja na Mchango wa CCM kujenga Maadili na Malezi nchini.


Kilele cha Sherehe za miaka *48* ya CCM yatafanyika Mkoani *Dodoma* katika Uwanja wa *Jamhuri* tarehe *05/02/2025* ambapo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, *Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan* anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.


Watoa mada mbalimbali, vìongozi wa CCM, Serikali nà taasìsi ɓinafsi ŵàtaķuwepo katika kongamàno hilo, Nyote Mnàķariɓisĥŵa.


*#Miaka48yaCCM*

*#UmojaWetuNguvuYetu*

*#KaziIendelee*

*#UshindìwaCCM2025JumuiyaYaWazaziTukoMstariWaMbele*

Post a Comment

0 Comments