🗓️ 07-02-205
📍Dodoma
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Rehema Sombi Omary (MNEC) Amehudhuria na Kushiriki katika Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa.
Kikao hicho kimejfanyika katika Ukumbi wa NEC Jijini Dodoma. Na kimeongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndugu Mohamed Ali Kawaida (MCC).
#Miaka48yaCCM
#UmojaWetuNguvuYetu
#TunazimaZoteTunawashaKijani
0 Comments