EWURA YAWASILISHA MADA KATIKA MKUTANO WA 11 WA PETROLI NA GESI

 




Baadhi ya Watumishi wa EWURA wakiwasilisha mada katika Mkutano wa 11 wa Petroli na Gesi wa Afrika Mashariki, leo 6/3/2025 unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments