Mwito wa Maoni: EWURA imepokea maombi ya leseni ya muda kwa ajili ya kuzalisha umeme kutoka kwa kampuni ya Lung’ali Natural Resources Company Limited.
Hivyo basi, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi dhidi ya ombi hili atume maoni yake EWURA ndani ya siku 14 tangu kuchapishwa taarifa hii.
0 Comments