WAZIRI MKUU ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA MIAKA 50 YA TET

 




Na mwandishi wetu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 07, 2025 ameshiriki katika matembezi ya hisani ya kuadhimisha miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), jijini Dar es Salaam

Viongozi wengine walioshiriki matembezi hayo ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Naibu Waziri wa Wizara hiyo Omari Kipanga na watendaji wengine wa Wizara ya Elimu pamoja nawa Taasisi ya Elimu Tanzania.

Matembezi hayo yalianzia katika viwanja vya Taasisi ya Elimu na kuishia katika hiyo.

#KitabuKimoja
#MwanafunziMmoja


Post a Comment

0 Comments