Na mwandishi wetu
Zoezi la Wagombea 31 wa Ubunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kujitambulisha mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa UVCCM Taifa limekamilika ambapo zoezi la kupiga kura litafanyika kupatikana wabunge 6.
#OktobaTunatiki
#KazinaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani
0 Comments