RABIA: ABDI VIJANA MPO IMARA, KAZI IENDELEE.

 


Na mwandishi wetu

Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa kimataifa CCM (SUKI) Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Ndg. Abdi Mahmoud Abdi wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa UVCCM Taifa ambao unaenda kuchagua Wabunge na Wawakilishi wa Viti Maalum Kundi la Vijana kipindi cha miaka mitano 2025 - 2030.

#OktobaTunatiki

#KazinaUtuTunasongaMbele

#TunazimaZoteTunawashaKijani

Post a Comment

0 Comments