Wakazi wa Mbeya wajitokeza kwa wingi kupata kinga tiba ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee.............

 wananchi wa eneo la kwabwe jijini mbeya stand wakisubiri kwa hamu  kupatiwa dawa za kinga tiba kwa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee ambalo zoezi hilo linaanza rasmi tarehe 2 mei mpaka tarehe 5 mei mwaka huu liliondaliwa na Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee.
 Mkuu wa wilaya ya mbeya mjini Ndugu Nyilembe Munasa akitoa dawa za kinga tiba ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee kwa wananchi wa mbeya mjini katika eneo la kituo cha mabasi madogo(daladala) kabwe  April 29 kabla ya kuzinduliwa rasmi.
 Mratibu na maneja wa mpango wa taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee Dr. Upendo Mwingira akiongea na wandishishi wa habari wa jijini mbeya kwa uhamsishaji wa ugawaji wa kinga tiba ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee wiki iliyopiti.
 Mtaalam kutokana Mpango wa taifa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee Maadam Alistidia akifafanua kwa kina kuhusu magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee kwa waandishi wa habari jijini Mbeya wiki iliyopita.
 Meneja wa mpango wa taifa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee Dr. Upendo Mwingira akifafanua kwa makini mbele ya waandishi wa habari wa Jijini mbeya wiki mbili zilizopita
 Waandishi wa Jijini mbeya wakisikiliza kwa makina semina ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee iliyoendeshwa na Mpango wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee jijini Mbeya.

 Bango la Mpango wa taifa ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele siku ya uzinduzi wa kampeni ya umezaji kinga tiba kwa jiji la mbeya.
Waandishi wa jijini mbeya wakiwa kwenye semina ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbelee

Post a Comment

0 Comments