BEI KIKOMO ZA BIDHAA YA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA FEBRUARI 05

 


TAARIFA:  EWURA inatangaza Bei Kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano ya tarehe  5 Februari, 2025, saa 6:01 usiku.


Wafanyabiashara wa rejareja na jumla  wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa na EWURA pekee na yeyote atakayekiuka AGIZO hili atachukuliwa hatua kali kwa mujibu  wa sheria. 







#beikikomo #mafuta #petroli #dizel #mafutayataa #udhibiti #nishati #bei #agizo #udhibiti #nishati #dizeli #mafutayataa #daressalaam #tanga #mtwara #arusha #mwanza #manyara #kilimanjaro #dodoma #singida #tabora #shnyanga #katavi #simiyu #kigoma #kagera #mara #geita #mbeya #songwe #ruvuma

Post a Comment

0 Comments