Na mwandishi wetu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es salaam kuhudhuria Mashindano ya Qur-an ya Kimataifa ya Tajweed yalioandaliwa na Taasisi ya Khidmatulquran Islamic Foundation , katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNICC) Dar es Salaam tarehe 15 Machi 2025.
0 Comments