DC KUBECHA AZINDUA MASHINDANO YA BAISKELI TANGA WOMEN GALA

 





Na mwandishi wetu

Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha Leo 13 Septemba, 2024 , Amezindua Mashindano ya Baiskeli Kwenye Maonesho ya Tanga Women Gala ,

-

Katika Mashindano Hayo ambapo yalikuwa na Mavazi Maalum kwa Wanaume kuvaaa Msuli ,Barakashea na sendo Maridadi ,

-

" Nawapongeza  Tanga Women Gala kwa Kutimiza Miaka 7 Toka  Kuanzishwa kwa Maonyesho haya , Nyie Ni Kielelezo Tosha cha Baiskeli Kwani ni Kipando ambacho Popote Kinapita , maana Yake Nyie Wajasiriamali ni Wapambanaji Kwenye Mabonde , Na Changamoto kote Mnapita .


 *TANGA YETU ,LANGO LA UCHUMI WA AFRIKA MASHARIKI*

Post a Comment

0 Comments