RAIS DKT SAMIA AHUDHURIA MASHINDANO YA DUNIA YA QUR'AN TUKUFU KWA WANAWAKE

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2024.












Post a Comment

0 Comments