DC MAGOTI AJIANDIKISHA KITONGOJI CHA BOMANI-KISARAWE

 





Na mwandishi wetu 

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe Petro Magoti Leo tarehe11 Octoba,2024 ameshiriki katika zoezi la uandikishaji katika Daftari la kudumu la mpiga kura ambapo Dc magoti amejiandikisha katika kitongoji cha bomani ambapo Dc magoti aliambatana na watumishi wa ofisi ya mkuu wa wilaya pamoja na watumishi wa Halmashauri.

Lakini pia,Dc Magoti  ametumia Fursa hiyo kuwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kujiandikisha kwani ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania.






Post a Comment

0 Comments