Na mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa *Ndg. Mohammed Ali Kawaida* amewasili katika ukumbi wa makumbusho Posta kushiriki Kongamano la Vijana linalohusu uhakiki wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Mkoani Dar Es Salaam.
#DiraYaTaifa2050
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteNaKuwashaKijani
0 Comments