DC KUBECHA AFANYA KIKAO NA WAZEE WA TANGA ASILI

 


Na mwandishi wetu

Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha amekutana na Wazee wa Tanga Asili katika Muendelezo wa Kuendelea Kupokea Ushauri na Kuwasikiliza Wazeee Juu ya Mustakabali ya Mwenendo wa Wilaya yetu ,

Aidha Mkuu wa wilaya alipata Wasaa wa Kuzungumza  na Wazeee wake na Kuwaomba Kuendelea Kuwashauri Viongozi wote wa Wilayani , aliendelea Kuwagusia Kuhakikisha Ndani ya Kata 27 Bhasi Kila Kata Kuwa na Viongozi Wazee Watano Lengo ni Kuhakikisha Wazee hawa wa Tanga Asili Kufika mpaka kwenye ngazi za kata na Mitaa ili Kuendelea Kuishauri Serikali na Watendaji wake kwanzia kwanzia Chini .


# *TANGA YETU ,LANGO LA UCHUMI WA AFRIKA MASHARIKI* .

Post a Comment

0 Comments