Na mwandishi wetu
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha akiwa ni mdau wa michezo mkubwa aliungana na Wananchi wa Tanga katika Kuanikiza Ushindi wa Costal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Mechi hiyo Ilimalizika Kwa Costal Union Kupata Ushindii wa Magoli 2 kwa Moja Dhidi ya Singida Big stars na Costal Union Kufanikiwa Kufikisha point 28 Kujikita Nafasi ya 10 kwenye Msimamo wa Ligi kuu ya Tanzania bara .
Aidha Mara baaada ya Mpira Mheshimiwa Mkuu wa wilaya alipata Wasaa wa Kuongea na Wachezaji pamoja na Vyombo vya Habari kwa Kuwapongeza Wachezaji kwa Kupata Point Tatu Muhimu , Lakini Kuwaomba Wananchi wa Tanga Kujitokeza Leo Kuwasapoti African Sport kwenye Mchezo wao wa Ligi Daraja la Kwanza [Championship] Dhidi ya TMA.
*# TANGA YETU ,LANGO LA UCHUMI WA AFRIKA MASHARIKI* .
0 Comments