DC TANGA ATEMBELEA MABANDA YA SAMIA LEGAL AID KUJIONEA MWENENDO WA UTOAJI HUDUMA

 


Na mwandishi wetu

Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Katika kuendelea kuwafikia Watanzania katika Kuwasikiliza na Kutatua Changamoto zao , Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia [MSLAC] imeweza kufika katika Halmashauri zote na kata zaidi ya 100 kwanzia Tarehe 8 Mwezi 4 ,2025.

Aidha Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha alipata Fursa ya Kutembelea Vituo Vya Msaada wa Kisheria Ndani ya Wilaya ya Tanga Kujionea Hali ya utoaji Huduma wa Kisheria Unavyoendelea , aliridhishwa na Hali Inavyoenda na Kuwatia Moyo Kuendelea Kuchapa Kazi Bila Kuchoka kwa kuwasaidia Watanzania na Wananchi wa Wilaya ya Tanga .

# *TANGA YETU ,LANGO LA UCHUMI WA AFRIKA MASHARIKI*





Post a Comment

0 Comments