HIZI HAPA NOTI ZITAKAZOONDOLEWA KWENYE MZUNGUKO


Na mwandishi wetu


Zoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania. 

Baada ya tarehe hiyo, mtu yeyote au taasisi yoyote inayomiliki fedha hizo haitaruhusiwa kuzitumia katika kufanya malipo popote nchini; na benki zote hazitaruhusiwa kulipa wala kupokea amana au maombi ya kubadilisha noti zilizoondolewa kwenye mzunguko.


Post a Comment

0 Comments