Na mwandishi wetu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa *Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC)* amehitimisha Ziara yake katika Mkoa wa Songwe ambapo leo Jumanne 17 Juni, 2025 amefanya Mkutano wa Hadhara katika Mji Mdogo wa Mbozi.
Kwa Miradi Iliyokaguliwa Na Mwenyekiti Ndani Ya Siku Saba Za KIBABE Wananchi Hawana Neno Wao Wamesema Wanasubilia Ifikapo Oktobaaaaaa Wakatiki Tuu✅
*Ziara ya Siku Saba za Kibabe Ya KAWAIDA* imetamatika Leo 17 Juni, 2025 tangu ilipoanza mnamo 11 Juni katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na kutamatika Mkoani Songwe.
*#SikuSabaZaKibabe*
*#KaziNaUtuTunasongaMbele*
*#TunazimaZoteTunawashaKijani*
*#OktobaTunatiki✅*
0 Comments