MHE.TOUFIQ TURKY ATEMBELEA SHULE ALIYOSOMA DARASA LA KWANZA HADI LA TATU

 



Mhe. @toufiqsturky Baada ya  Miaka 32 amerudi kutembelea Shule aliyosoma Darasa la kwanza hadi la tatu.


Kusema kweli wanafunzi saivi hawakalii mabox na mabao napia nimefarajika kuona watoto wenye uthubutu wa kuwa na ndoto kubwa la kutujengea Taifa Bora lijalo, Pia Mhe. Toufiq Turky amekula na kupeana Motisha na kuwashukuru kuwa Mlezi wao na ahadi yao  kwa Mhe Toufiq kuwa itakuwa shule yenye viwango vikubwa Visiwani Zanzibar

Mhe Toufiq Turky akimaliza kwa kusema kabla hamjanishambulia niwaambie kuwa shule hio haimo kwenye Jimbo langu wala sikuenda kumpigia siasa yeyote ila nilienda kama mwamfunzi wa Kajificheni





Post a Comment

0 Comments