Na mwandishi wetu
Mwenyekiti Wa Umoja Wa Vijana Chama Cha Mapinduzi TAIFA *Komredi Mohamed KAWAIDA* Ashiriki Uzinduzi Wa Dira Ya Maendeleo Ya TAIFA 2050, Iliyofanyika Mkoani Dodoma.
_"Katika Dira Ya Maendeleo Ya TAIFA 2050 Vijana Ndio Kundi Ambalo Limeguswa Kwa % Kubwa, Hivyo Kama Mwenyekiti Wa Vijana Ni Jukumu Langu Kuja Kusikia Yale Ya Vijana"_
Ukisoma Ukurasa Namba 5,6,7 Na 14 Wa Dira Ya Maendeleo Ya TAIFA 2050,Inaelezea Fika Vijana Wananufaika Vipi Na *Tanzania Ya 2050*...Hivyo Kama Vijana Yatupasa Kushambulia Fursa Zilizopo.
*#SautiYaVijana*
*#DiraYaMaendeleoYaTaifa2050*
*#OktobaTunatiki✅✅*
0 Comments