𝗠𝗪𝗘𝗡𝗘𝗭𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗟𝗟𝗔 𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔𝗡𝗜 𝗖𝗛𝗜𝗡𝗔

 



Na mwandishi wetu

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM CPA Amos Makalla ameongoza ujumbe wa NEC ya CCM katika ziara yake nchini China. Ujumbe huo ulikutana na Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Masuala ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara wa IDCPC Rao Huihua mjini Beijing.





Post a Comment

0 Comments