HUDUMA YA INTERNET BANKING KWENYE MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA YAZINDULIWA RASMI

 



Na mwandishi wetu

Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Benk ya NMB kwa pamoja wamezindua Huduma ya Internet Banking kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Lengo ni kuchochea Mustakabali endelevu wa matumizi ya Kidigitali katika kuwezesha huduma za kijamii.

Uzinduzi huu umefanyika leo tarehe 13.03.2025 katika ukumbi wa Jiji - Mtumba na Mgeni rasmi alikua Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI Bw. Adolf Ndunguru.









Post a Comment

0 Comments