WAZIRI NDEJEMBI ASHIRIKI HALFA YA IFTAR YA WAZIRI MKUU

 


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Deogratius Ndejembi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) akisaliamiana na Naibu Waziri Mkuu na waziri wa  nishati Dkt Doto Biteko Katika Halfa ya iftar iliyoaindaa kwa watumishi wa  ofisi ya Waziri mkuu pamoja na taasisi zake.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Deogratius Ndejembi akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mary Maganga Katika Halfa ya iftar ya Waziri mkuu kwa watumishi wa  ofisi waziri mkuu na taasisi zake.

Post a Comment

0 Comments