WAZIRI ULEGA ASHIRIKI KONGAMANO LA KUMI LA WADAU WA SEKTA YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI

 


Na mwandishi wetu

Waziri wa uvuvi na Mifugo Mheshimiwa Abdallah Ulege ameshiriki Kongamano la kumi la Wadau wa sekta ya kilimo,uvuvi na Mifugo ambao umeanza siku ya Jumatano April 17,2024 na unamalizika Ijumaa April 19,2024 Katika ukumbi wa mikutano wa Venance Mabeyo Dodoma.


Aidha Waziri Ulega ameshiriki majiliano na   wadau juu ya kuongeza uzalishaji na mifumo ya chakula yenye ustamilivu,uendelevu na shirikishi.





Post a Comment

0 Comments