DKT MPANGO AKAGUA UJENZI WA OFISI YAKE MTUMBA

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira lililopo Mtumba Mkoani Dodoma tarehe 31 Julai 2024.






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira mara baada ya kukagua ujenzi wa Jengo la Ofisi hiyo lililopo Mtumba Mkoani Dodoma. Tarehe 31 Julai 2024.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) Dkt. Ashatu Kijaji , Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Crypian Luhemeja katika picha ya pamoja na Viongozi pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira mara baada ya kukagua ujenzi wa Jengo la Ofisi hiyo lililopo Mtumba Mkoani Dodoma. Tarehe 31 Julai 2024.

Post a Comment

0 Comments