Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika hafla ya uzinduzi rasmi wa huduma za usafiri wa Treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam- Morogoro hadi Dodoma, Agosti 1, 2024.
Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philipo Mpango, Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.
0 Comments