RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKE WA MTOTO WA MFALME WA UINGEREZA

 











Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya Mazungumzo na mke wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.

Post a Comment

0 Comments