DC BOMBOKO AINGILIA KATI UVUNJWAJI WA NYUMBA ZA WANANCHI MTAA WA MABIBO


 




Na Mwandishi wetu 

"Nimejionea zoezi batili la uvamizi na Uvunjwaji wa Nyumba zenye Mgogoro Mahakamani baina ya Wana ndoa Aziza Taufiki na Mumewe Mwinjuma Ally Mazige. Mgogoro ambao Unahusisha Mgawanyo wa mali walizochuma wote, ambapo Mahakama Iliweka Zuio baina ya pande zote zinazovutana na wengine aidha kuendeleza, Kuvunja au Kuuza nyumba hizo"

Mkuu wa wilaya na serikali tunalaani Vikali, Ukiukwaji wa Sheria, Uvamizi, Uvunjaji na uondoaji wa wananchi katika eneo ambalo lenyemgogoro na zuio lMahakama. ni Zoezi la Kihuni na Nimeliagiza jeshi la Polisi kuchukua hatua, wahusika wote walio kaidi amri ya Mahakama na Agizo la DC katika Kusitisha zoezi la Uvunjaji wa nyumba hizo.










Post a Comment

0 Comments