MTANGAZAJI WA WASAFI DIDA AFARIKI DUNIA



Na mwandishi wetu

 Mtangazaji wa Wasafi Media Dida Shaibu amefariki Dunia baada ya kuumwa na kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mtangazaji mwenzie Maulidi Kitenge.

Post a Comment

0 Comments