𝗦𝗘𝗥𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗩𝗬𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗩𝗬𝗔 𝗨𝗟𝗜𝗡𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗪𝗔𝗘𝗡𝗗𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗡𝗔 𝗝𝗜𝗧𝗜𝗛𝗔𝗗𝗔 𝗭𝗔 𝗨𝗢𝗞𝗢𝗔𝗝𝗜 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗔𝗞𝗢𝗢.

 






Na mwandishi wetu


Serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama vimeonyesha jitihada kubwa na kazi nzuri inayoendelea kufanya katika uokozi wa wahanga wa tukio la kusikitisha la jengo la ghorofa lililoanguka Kariakoo. 

Hatua zao za haraka, umakini na mshikamano wanaouonyesha ni ishara ya uwajibikaji na kujali maisha ya Watanzania.

Tunaendelea kuwaombea wahanga wa tukio hili na familia zao, huku tukiwa na matumaini kuwa jitihada hizi zitaendelea kwa mafanikio zaidi. Ni jukumu letu kama Taifa kuungana katika nyakati kama hizi kwa mshikamano wa dhati.









Post a Comment

0 Comments