Na mwandishi wetu
Matukio katika picha yakionyesha wageni mbalimbali wakiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania unaotarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia leo Novemba 19-21, 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kufungua Mkutano huo muda mfupi ujao.
Taarifa kamili itawasilishwa baadaye.
*#TMIC2024*
0 Comments