Na mwandishi wetu
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akikata utepe katika Mradi wa gesi asilia katika chuo cha Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii Likuyu Sekamaganga katika Mahafali ya nne katika chuo hicho
Akizindua Mradi huo CP. Wakulyamba amesema Mradi huo utasaidia kuondokana na matumizi ya Kuni na kutumia nishati mbada kusaidia kuhifadhi mazingira ya rasilimali za misitu
"Nimpongeze Mkuu wa chuo hiki Bi. Jane Nyau kwa jitihada zake katika kuunga mkono maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya matumizia ya nishati mbala, niziombe Taasisi nyingine kuiga mfano huu." Amesema Wakulyamba
0 Comments