MWENYEKITI UVCCM TAIFA AKUTANA NA UONGOZI WA BODABODA

 



Na mwandishi wetu

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi *Ndg, Mohammed Ali Kawaida* amewasili Mkoani Arusha na kukutana na Viongozi wa maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda na kukabidhi reflekta elfu moja (1000) zikakabidhiwa kwa viongozi kwaajili wa bodaboda wa jiji la Arusha.

Hii ni kuelekea Mkutano Mkuu wa maafisa Usafirishaji utakaofanyika kesho katika ukumbi wa AICC Simba Hall ambapo Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi atakuwa Mgeni rasmi.






#KijanaNaKijani 

#TunazimazoteTunawashaKijani

#KulindaNaKujengaUjamaa

#KaziIendelee

Post a Comment

0 Comments