PICHA NA MATUKIO MBALI MBALI MKUTANO MKUU WA BODABODA ARUSHA

 



*PICHA NA MATUKIO MBALI MBALI MKUTANO MKUU WA BODABODA ARUSHA*

📍27 Desemba 2024.

Picha na matukio mbalimbali ya viongozi, waalikwa na wajumbe wa Mkutano wa Boda boda kwenye ukumbi wa AICC (Simba Hall) ambapo Mkutano Mkuu wa Bodaboda Arusha ulifanyika.

Kwenye Mkutano huo Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi *Ndg, Mohammed Ali Kawaida (MCC)* ndiye aliyekuwa Mgeni Rasmi.

Kwenye Mkutano huo Mwenyekiti amezindua Mfumo wa kidigitali wa maafisa usafirishaji, amezindua Saccoss, amekabidhi boda boda mbili moja iwasaidie kazi viongozi wa Wilaya na nyingine viongozi wa Mkoa wa Maafisa usafirishaji ili kuwasaidia kuwatembelea wenzao na kutatua changamoto mbalimbali.


#KijanaNaKijani 
#TunazimazoteTunawashaKijani
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendelee

Post a Comment

0 Comments