Na mwandishi wetu
Mwenyekiti wa UWT Taifa *Ndg Mary Pius Chatanda (MCC)* Kwa niaba ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) anatoa shukrani za dhati Kwa Chama Cha Mapinduzi kwa kuwapatia Gari kwa Matumizi ya Matangazo (PA).
Akipokea kwa niaba ya UWT, Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC) amekabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM *Balozi Dkt. Emanuel John Nchimbi* katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM - Dodoma.
Aidha, Katibu Mkuu wa CCM amekabidhi Magari 4 Kwa Jumuiya zote 3 pamoja na Ofisi ya Jakaya Kikwete Convention center.
#uwtimara
#chamaimara
#jeshiladktsamianadktmwinyi
#kaziiendelee
0 Comments