Mwito wa Maoni: EWURA imepokea maombi ya Kampuni ya Pan African Energy
Tanzania Limited kwa ajili ya kibali cha ujenzi wa bomba la kusambaza gesi asilia.
Hivyo basi, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi dhidi ya ombi hili atume maoni yake EWURA ndani ya siku 14 tangu kuchapishwa taarifa hii.
0 Comments