MWITO WA MAONI:EWURA YAPOKEA MAOMBI YA LESENI KUTOKA MAMLAKA ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA

 


Mwito wa Maoni: EWURA imepokea maombi ya leseni kutoka kwa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira kwa ajili ya kutoa huduma za maji na usafi wa mazingira.

Hivyo basi, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi dhidi ya ombi hili atume maoni yake EWURA ndani ya siku 14 tangu kuchapishwa taarifa hii.

Post a Comment

0 Comments