Mwito wa Maoni: EWURA imepokea ombi kutoka kwa Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania kwa ajili ya leseni ya uendeshaji wa bomba la usambazaji wa gesi asilia katika Mkoa wa Dar es salaam.
Hivyo basi, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi dhidi ya ombi hili atume maoni yake EWURA ndani ya siku 14 tangu kuchapishwa taarifa hii.
0 Comments